• Mishahara kidogo
• Kuna Taasisi posho zao halali za nauli na Uhamisho zinalipwa kwa mbinde .
• Sasa mmeleta PEPMIS ambayo watumishi wanapaswa kujaza kila wiki.
• Kikokotoo kandamizi kimetupwa kwa watumishi.
• Idadi ndogo ya watumishi inaathiri watumishi waliopo makazini maana mtumishi mmoja...
TAMISEMI inacheza na maisha ya watumishi wa umma , kwamba hawato pata stahiki zao za kupanda madaraja kwa kisingizio cha PEPMIS mfumo ambao unahitaji mda kuuelewa na unahitaji vitendea kazi ni kuwafanyia ukatili mkubwa watumishi
Kwa taarifa zilizopo ni kwamba mfumo huu kwenye simu na vishkambi...