"Sisi posho siku moja tu bungeni tulikuwa tunalipwa laki nne, halafu Mwalimu kwa mwezi unamlipa laki 4"
Soma, Pia: John Heche: Mbunge analipwa Milioni 20 kwa mwezi na posho ya laki 6 kwa siku. Nchi hii inaibiwa sana!
Wakuu,
Ndio kusema kwamba hizi ni kampeni za kwenye Uchaguzi? Walimu kama mnaamini haya mambo ya CCM ya kila mwaka mjitafakari sana
==============================================
Akizungumza wakati wa kuzindua Sera ya Elimu na Mafunzo kwa mwaka 2014, toleo la 2023, Rais Samia Suluhu Hassan...
Wasalam mabibi na mababu...
Toka tarehe 14/4/2024 Tume huru ya uchaguzi imetoa tangazo la nafasi za kazi za muda katika kuboresha Daftari la kudumu la mpiga Kura.
Katika Jambo lililonishangaza ni kuona wimbi la walimu kuomba hizi nafasi, imani yangu inaniambia hizi ilikuwa n nafasi za kuomba...
Habari,
Nimesoma bandiko la Thadei Ole Mushi kuhusu "Mshahara wa Mwalimu unavyotafunwa CWT" la Dec 2022.
Lakini pia nimepitia uzi wa Mpwayungu Village kuhusu Tuungane kwa pamoja kuwasemea walimu, hakika nimetafakari kwa kina jambo fulani.
Sekta hii ya ualimu ni sekta nyeti sana nchini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.