Habari Ndugu zangu Wana JF nataka kupitia thread hii itukomboe wakulima juu ya MASOKO.kwaiyoo yeyote anayefahamu soko hapa Tanzania au nje ya hapa ata taja soko na BIDHAA inayouzika au inayouzwa kutoka kwa mkulima
Mazao kama yafuatayo;
1.Mchele
2.mahindi
3.kahawa
4.katani
5.ndizi
6.kuku
7.mbuzi...