Miundombinu ya masoko, na maduka mengi, au maeneo mengi ya biashara haijakaa vizuri, hawajawahi kabisa kufikiria hili, alafu mwisho wa siku wanalaumu Jeshi la Zima moto, na gari zenyewe za kutafuta kwa Tochi.
Nchi za wenzetu kuna System wanaitumia hata katika mitaa ya makazi ya watu, wanaita...
Siku za hivi karibuni kumekuwa na Ongezeko na kasi isiyokawaida ya Kuungua kwa Masoko Nchini hasa Nyakati za Usiku Jambo linalozua Maswali mengi zaidi.
Sio kwamba kama Nchi ndio tumeanza kupata kuyaona Majanga haya kwa Mara ya Kwanza hapana, yamekwisha kutokea huko Nyuma lakini mtindo ndio...
Police wana uwezo wa kudetect uvunjifu wa amani iwapo vyama vya Upinzani wanataka kuitisha mikutano lakini mikusanyiko ya CCM na kwenye masoko hawawezi.
Miaka ya hivi karibuni masoko yamekuwa yakiungua mara kwa mara mfano Mwanjelwa Mbeya, Kariakoo, Karume n.k, lakini hutakuta wakitoa...
Dhana hii ndiyo inayozungumzwa na Watu wengi mno, kutokana na mazingira yalivyo inaaminika kwamba masoko haya yanapigwa kiberiti, japo haijatajwa hasa ni yupi anayefanya unyama huo.
Lengo langu si kufanya uchochezi, nilichozingatia ni ile methali isemayo MFICHA UCHI HAZAI au MFICHA MARADHI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.