NASDAQ na S&P 500 ndio masoko ya hisa pendwa zaidi kwa makampuni ya teknolojia ya Marekani na nje ya Marekani
Makampuni kama NVIDIA (Marekani) designer wa AI GPU, TSML (Taiwan) watengenezaji wa chips za 3nm na 5nm kwa ajili ya AI, ASML (Nerthelands) watengenezaji wa EUV lithography machine for...
Kuanzia Ijumaa ya wiki iliyopita masoko ya hisa ya Marekani yameporomoka kwa kasi sana. Wachumi wanasema hii inaweza kupelekea kushuka kwa uchumi (economic recession) nchini Marekani na huenda sehemu nyingine duniani.
Siku ya Jumatatu 5 August 2024 peke yake kwa ujumla masoko makubwa ya hisa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.