Mbona naona km serikali imesimama kila mwenye kanafasi anajifanyia anavyoona inamfaa. Wiki hii wameripoti wanafunzi wanajiunga na masomo ya sekondari kidato cha kwanza 2025. Kuna shule za serikali ambazo zina ufaulu mzuri walimu wakuu(Headmasters) wanauza nafasi za kujiunga na shule hizo kwa...