Baraza la Mitihani la Taifa(NECTA) limefanya mabadiliko kwenye mitihani ya kuhitimu elimu ya msingi kwa kuondoa machaguo ya majibu kwenye somo la hisabati kuanzia mitihani ya mwaka huu.
Pia wanatarajia kufanya mabadiliko kama haya kwa ngazi ya sekondari kwenye masomo ya Fizikia, Kiingereza na...