Nawasalimu kwa kina la Jamhuri ya Muungano,
Kumekuwa na utaratibu wa serikali tangu mwaka 2017 kuajiri walimu wa sayansi na hesabu tu,ikitokea arts imeguswa basi ni Kiingereza pekee hali hii imefanya idadi ya walimu wa masomo mengine ya arts kuzidi kupungua mashuleni na hata kama hawapungui...