Mshambuliaji wa ManchesterUnited, Mason Greenwood anawaniwa na Marseille ya Ufaransa na kama atasajiliwa anaweza kuungana na staa wa zamani wa United, Alexis Sanchez.
Greenwood aliyeichezea Getafe ya Uhispania kwa mkopo msimu uliopita, alirejea kwenye mazoezi katika Viwanja vya Carrington, jana...