masoud kipanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Faana

    Mwenye kumuelewa Kipanya atusaidie

  2. Braza Kede

    Napata wapi gari zinazozalishwa na Masoud Kipanya?

    Wakuu kuna wakati tulioneshwa magari yanayotengenezwa na kampuni ya mtanzania mwenzetu mzalendo kindakindaki Masoud Kipanya. Kama kuna anayejua yanauzwa kwenye showroom gani au yanapatikana wapi asaidie kuweka mawasiliano hapa.
  3. Damaso

    Masoud Kipanya atunukiwa Shahada ya Heshima (Vanguard Honorary Degree for Creativity)

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya kutengeneza magari ya umeme ya KAYPEE MOTORS, ambae pia ni Mtangazaji kutoka kituo cha Clouds Media Group, Ally Masoud Nyomwa maarufu kama Masoud Kipanya, ametunukiwa shahada ya heshima katika kutambua mchango wake kwa Jamii, ubunifu na ustahimilivu, ambayo...
  4. Waufukweni

    Masoud Kipanya atunukiwa shahada ya heshima kwa Ustahimilivu na athari katika Jamii

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya kutengeneza magari ya umeme ya KAYPEE MOTORS, ambae pia ni GenC na mtangazaji kutoka Clouds Media Group, Ally Masoud Nyomwa maarufu kama Masoud Kipanya, ametunukiwa shahada ya heshima inayotambua mchango wake kwenye jamii, ubunifu na ustahimilivu, ambayo...
  5. JanguKamaJangu

    Mahakama Kuu yaondoa kesi ya Masoud Kipanya dhidi ya Mwijaku kutokana na dosari za usajili

    Mahakama Kuu ya Tanzania (Masijala Ndogo ya Dar es Salaam) imeondoa kesi ya kashfa ya Ally Masoud Nyomwa maarufu Masoud Kipanya dhidi ya Burton Mwemba Mwijaku, kutokana na dosari za usajili. Jaji David Ngunyale aliiondoa kesi hiyo mnamo tarehe 24.10.2024 kabla hajatoa uamuzi wa mapingamizi...
  6. Waufukweni

    Mwijaku anusurika kulipa TSh. milioni 500 baada ya Mahakama kufuta kesi ya Masoud Kipanya

    Mahakama Kuu ya Tanzania (Masijala Ndogo ya Dar es Salaam) imeondoa kesi ya kashfa ya Ally Masoud Nyomwa maarufu Masoud Kipanya dhidi ya Burton Mwemba 'Mwijaku', kutokana na dosari za usajili. Mheshimiwa Jaji David Ngunyale aliiondoa kesi hiyo mnamo tarehe 24 Oktoba 2024 kabla hajatoa uamuzi wa...
  7. T

    Mjadala wa Elimu unatia uchungu na ukakasi. Liandaliwe kongamano ili wananchi tupate fursa kuchangia kwa mustakhabali mwema wa taifa

    Kwa aliyekuwa anasikiliza maongezi yenu leo katika PB ni ukweli umewekwa wazi, kwamba watoto wanaosoma katika shule za "Private' ni asilimia 1 na point tu ya wanafunzi wote wa Tanzania. Twaweza wameshafanya tafiti na hata hakuna mwenye akili timamu ambae atapinga. Narudia na kusisitiza kuwa...
  8. Roving Journalist

    Mapingamizi ya Mwijaku dhidi ya Masoud Kipanya kusikilizwa Oktoba 17, 2024 Mahakama Kuu

    Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala Ndogo ya Dar es Salaam imepanga kusikiliza mapingamizi manne ya kisheria ya Burton Mwemba Mwijaku dhidi ya mashitaka ya kashfa ya Ally Masoud Kipanya mnamo tarehe 17 Oktoba 2024 mbele ya Jaji David Ngunyale. Amri hiyo ya Mahakama kuanza kesi ya mapingamizi...
  9. ChoiceVariable

    Kutana na Kijana wa Tanzania Anaeunda Magari. Wakifanya Kolabo na Kipanya Watafika Mbali

    Hongera bwana Tony Chaula muunda magari. Kutana na Eston Chaula, maarufu kama Tony, kijana aliyeishia darasa la saba lakini anauwezo wa kufikiri muundo wa gari analolitaka na kuliunda kwa kutumia vifaa anavyoweza kuvipata kwa gharama ndogo. Soma Pia: Gari la kwanza la umeme lazinduliwa...
  10. Roving Journalist

    Kipanya amshtaki Mwijaku rasmi Mahakama Kuu, adai malipo mengine ya Tsh. Milioni 500

    Mchoraji wa katuni maarufu nchini Tanzania na kimataifa ambaye pia ni mbunifu na mtangazaji wa vipindi vya redio na televisheni vyenye mvuto mkubwa kwa jamii, Bw. Ally Masoud Nyomwa anayejulikana zaidi kwa jina la Masoud Kipanya (KP), amafungua mashitaka Mahakama Kuu ya Tanzania (Masjala Ndogo...
  11. Baba Dayana

    Katuni ya Masoud Kipanya ina maana gani?

    Nilichokielewa kutoka kwenye katuni ya Masoud Kipanya. Hili eneo ni makaburini na hapo unaonekana mzimu ukiwa umeandikwa TLS, kwahiyo ni maeneo waliyozikwa watu wa TLS (Tawala zilizopita). Mzimu wa TLS (Mwabukusi) ndio umefufuka juu unaona mwezi ukiwa umeng'aa ikimaanisha ni Usiku ila unaona...
  12. TODAYS

    Masoud Kipanya na Kile Kigari Chake, Kwa Nini Alitupiliwa Mbali?, Angalia na Soma.

    Sijui kama leo unaweza kuwa na wazo kama la Masoud kutaka kuzalisha kitu chochote cha kiubunifu na serikali yetu pendwa ikakuunga mkono kwa support kama wanayopewa wawekezaji wengine, sijui!!. Basi hapo majuzi jamaa yetu huyu mtangazaji alipokuja na ile idea yake nzuri na kigari chake huku...
  13. Allen Kilewella

    Serikali ya Kenya imewasikiliza Wakenya. Sisi tunajadili Mwijaku na Masoud Kipanya

    Muda huu William Ruto Rais wa Kenya amewaongoza wabunge wa Muungano wa Kenya Kwanza, kukubaliana na mambo mengi yaliyokuwa kwenye Bajeti ya nchi hiyo ambayo yalikuwa yanapingwa na Wakenya kuondolewa. Baada ya mbinyo toka Kwa Wakenya Kwa zaidi ya wiki Moja hatimaye serikali imekubali yaishe...
  14. S

    Kwanini polisi haimkamati Mwijaku ili kupata undani wa tuhuma nzito dhidi ya Masoud zinazotishia usalama wa nchi?

    Mwijaku amemtuhumu Masoud Kipanya kuwa "anafanya biashara haramu inayoharibu vijana". Ametoa tuhuma hizi kwa mandishi kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii. Tuhuma hizi ni nzito na zinatishia usalama wa nchi. Nilitegemea polisi kwa haraka sana wamkamate Mwijaku na kumhoji kwa undani...
  15. BARD AI

    Masoud Kipanya amfungulia Mwijaku Kesi ya Madai ya Tsh. Bilioni 5 kwa kumtuhumu kufanya biashara haramu

    Kwa mujibu wa Wakili wa Masoud Kipanya, amesema Mtangazaji huto maarufu kwasasa anapata shida kujitokeza mbele ya watu kutokana na tuhuma za kujihusisha biashara haramu zilizotolewa na Mwijaku Hayo yamebainishawa na Wakili wa Mtangazaji Masoud Kipanya, Alloyce Komba kutoka kampuni ya Haki...
  16. Gemini AI

    Mwijaku amuomba msamaha Masoud Kipanya baada ya kumtuhumu kuwa “anafanya biashara haramu” na kutukana Viongozi akiwemo Rais

    A /Alaykum ..! Nachukua nafasi hii kukutaka radhi my brother kwa kukukosea na kukuvunjia heshima .! Kijana wako nimeghafilika kwa jazba . M/Mungu anasema innah llah maaswabereen . Nilipaswa kua na SUBRA kabla sijanyanyua kinywa . Ile clip imenipa funzo kubwa sana inshaalah mdani ya nafsi yako...
  17. Gemini AI

    Mwijaku amwandikia Waraka Mzito Masoud Kipanya, adai anafanya biashara haramu

    Pia Soma: https://www.jamiiforums.com/threads/mwijaku-amuomba-msamaha-masoud-kipanya-baada-ya-kumtuhumu-kuwa-anafanya-biashara-haramu-na-kutukana-viongozi-akiwemo-rais.2223427/
  18. R

    Masoud Kipanya na kifo cha imani ya msalaba

    Katuni ya leo Kipanya inaonyesha namna basi lililobeba imani ya MSALABA LILIVYOZAMA KWENYE KORONGO. Hakuna majerua wala waokoaji katika eneo husika means wote waombolezaji na wafiwa wameangamia. Katuni hii inatoka siku moja baada ya waumini wa KKKT kupigwa na kitu kizito kutoka kwa mkuu wa...
  19. F

    Mrembo Nargis Mohamed akiri kuwahi kuwa mpenzi wa Masoud Kipanya

    Source: TBC Television. Aliyewahi kuwa Miss Dar City centre na Miss Ilala mwaka 2003, Nargis Mohamed akiri kuwahi kuwa mpenzi wa Mtangazaji wa Clouds FM Masoud Kipanya. Nargis ameyakiri hayo Jana usiku akihojiwa na Mtangazaji wa TBC Halid Gangana. Hata hivyo Nargis Mohamed amesema kwa sasa...
  20. BARD AI

    Neema Kipanya: Masoud Kipanya ana Watoto 15 na Wake 4

    Nina miaka 12 kwenye ndoa na Masoud Kipanya na nina watoto saba, lakini pamoja na wake wenzangu watatu jumla tuna watoto 15" amesema Neema Kipanya, mke wa mtangazaji maarufu wa redio Masoud Kipanya wakati akielezea masuala ya uzazi katika kipindi cha Sasambu cha TBC FM.
Back
Top Bottom