masoud kipanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zitto, Ludovic Utouh, Kipanya, Rosemary Mwakitwange, Aidan Eyakuze katika Mjadala wa Uwajibikaji na Bajeti ya 2023/24

    Leo Juni 19, 2023, Taasisi ya The Chanzo imeandaa tukio lilipewa jina la #TheChanzoSpecials, ambapo kunatarajiwa kuwa na mijadala mbalimbali itakayowakutanisha Wadau tofautitofauti. Tukio hili linalenga kujadili masuala matatu muhimu, kwanza tufanye nini ili kujenga tamaduni ya uwajibikaji...
  2. Sauti ya Kiongozi kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara akiponda ubunifu wa Gari ya Masoud Kipanya yavuja

    Sauti kutoka Kikao kilichohusisha wawakilishi kutoka wizara ya Uwekezaji, Viwanda na biashara na taasisi zilizo chini ya wizara hiyo kikijadili mustakabali na maendeleo ya Tanzania ya Viwanda. Hivi kama watu wenye mawazo ya aini hii ndio wamepewa mamlaka ya kusimamia masuala ya ukuzaji...
  3. N

    Katuni ya Masoud Kipanya inamaanisha nini?

    Ndugu hii katuni inamaanisha nn?
  4. James Gayo na Masoud Kipanya tumewakosea nini sie wana CHADEMA?

    Masoud Kipanya na James Gayo hiyo sio poa kabisa naona mnapenda kutukosea sana kwamba sisi ni wengi ila kuchukua nchi tuna nafasi finyu sana au sie tupo wengi ila walamba asali ni wengi sana. Nitafungua mashtaka kwa James Gayo na Masoud Kipanya maana naona mnaendelea kutukosea sana.
  5. O

    Masoud Kipanya umetukosea sana sisi Wanachadema

    Kwahiyo mkuu Masoud Kipanya unamaanisha sie chadema hatuna vichwa? Kwa maana sie wanachadema hatufikirii? Mungu wangu wangu masudi kwahiyo Mwenyekiti Mbowe na jopo lake wanatufanya nyie wanachadema tumeondolewa vichwaa 😃 😀 😄 😁 🤣! Masoud Kipanya umetukosea sana ila hongera sana kwa kututoa akili...
  6. Masoud kipanya katuletea nyingine hii

    Salamu zangu kwenu wakuu Tuendelee kuchanganua kama picha inavoeleza hapa chini
  7. Ni fitina za kibiashara au ukosefu wa ubora? Kwanini gari la Masoud Kipanya mpaka leo hakuna mrejesho?

    Nimeona niulize maana ukimya umekuwa mkubwa sana sana, si Masoud mwenyewe au serikali iliyodai inaenda kuifanyia uchunguzi iliyokuja na kutoa mrejesho tuambieni kama haifai tujue mmeifukia wapi tukatafute vyuma chakavu sie.
  8. Masoud Kipanya: Viongozi wetu ni wafupi

    Nguli wa vibonzo, ndugu Masoud Kipanya amedai tatizo kubwa la Viongozi ni ufupi na ni lazima sasa tuhitaji Viongozi warefu. '...unakuta raia unalalamika kwa jambo fulani ajabu kwalo Kiongozi naye analalamikia hilohilo kitu ambacho kinaondoa utofauti wa Muongozwa na Kiongozi.' '....ni muda sasa...
  9. Tumuunge mkono mwanasayansi Masoud Kipanya

    Kwa moyo wa dhati najivunia hiki ulichokifanya ndugu yangu. Ni mwanzo mzuri kuliko awali ya magari mengi yaliyopo sasa duniani Ninachokiomba kwa watanzania wenzangu; ni tumuunge mkono mwenzetu ili afanikishe maono yake. Gari la Masoud siyo kwa ajili yake binafsi. Ni kwa faida ya taifa letu na...
  10. Takwimu na Masoud Kipanya

    Kwa maana hii mtalii akienda Kilimanjaro, Mikumi nk wanahesabika ni zaidi ya mtalii mmoja.
  11. Masoud Kipanya: Maisha yangu mimi sio ya kuyaweka hadharani kama watu wanavyotaka

    “Maisha yangu mimi sio ya kuyaweka hadharani kama watu wanavyotaka, dunia tuliyopo kuna vitu vikifanyika watu wanaona kawaida na vile vya kawaida vinaonekana sio sawa" "Kuna mtu anaweza akawa na mwenza mmoja lakini nyuma yake ana 'watu' wengi sana na kila mwaka anabadilisha na watu wanaona sawa...
  12. J

    Mbuzi wa Kipanya amekata kamba kwahiyo anakula bila kipimo

    Nimeiona mahali katuni ya mbuzi wa Kipanya aliyekata kamba na kwahiyo anakula bila kuzingatia urefu wa kamba, nimecheka sana. Ngoja niitafute nitupie mjionee wenyewe. Maendeleo hayana vyama!
  13. L

    Masoud Kipanya una akili nyingi

    Huyu jamaa ana akili nyingi sana.IQ yake si ya kawaida.
  14. Ujumbe wa Masoud kipanya na Aliyosema leo Samia

    Kuna uhusiano wa alichofanya Samia na huu ujumbe wa Masoud?
  15. Masoud Kipanya huwa anasema mengi kwa picha au maneno machache

    Fact
  16. Ni lini Masoud Kipanya atapewa PhD ya Heshima kwa kazi anazozifanya?

    Navishangaa vyuo vikuu vya Tanzania hasa vyenye kutoa shahada mbalimbali za zinazohusiana na sanaa kutokuona mchango wa huyu mwamba. Masoud amekua akitoa kazi zenye kufikirisha na kutumia akili kwa miaka mingi sana. Binafsi toka nimfahamu ni zaidi ya miaka ishirini sasa. Natoa wito kwa vyuo...
  17. Masoud Kipanya alimaanisha nini kwenye mchoro huu?

    Nimeona mchoro huu nikajiuliza aliwaza nini kabla ya mdau kutoa ufafanuzi wake, Kama iko vivyo mdau alivyosema basi Kipanya ametukosea Sana watanzania, mtu akifa aachwe afe. Kusema Samaia anajifunza ya JPM ni kukosea sana hasa ukisema anajifunza mabaya tu. USSR
  18. Masoud Kipanya: Mtazamo wa Kisiasa na Falsafa ya Maisha

    Masoud Kipanya, wengi tulianza kumfahamu miaka ya mwishoni mwa 1990 na miaka ya mwanzoni mwa 2000. Kadiri miaka ilivyokwenda ndipo Masoud Kipanya aliendelea kuwa maarufu na kujulikana katika mambo mbalimbali, vijana wengi kumbukumbu yao kwa Masoud Kipanya ni kipindi cha Chuchu ambacho...
  19. S

    Tukio la kurushiana risasi kati ya Polisi na Mtu asiejulikana: Nasubiri katuni ya Masoud Kipanya

    Hili tukio limetokea katika kipindi ambacho kuna tuhuma fulani fulani kwa mtu/watu fulani hivyo nawaza mengi sana. Teyari mitandaoni kuna madi kuwa yule mtu alieuwa alikuwa anatamka maneno fulani, maneno yanyoweza kabisa kubadili sura ya hili tukio iwapo ni ya kweli na kuna uthibitisho wa video...
  20. Masoud Kipanya na taswira ya viongozi wetu wabadhirifu

    Yule msanii nguri ameendelea kuonyesha uzareeendo wake kwa watanzania . Wametuwekea picha inayo waonyesha viongozi wetu wa serikali jjnsi wanavyo jipatia mapato haramu na kuishi maisha ya kifahari. Tazameni wenyewe hiyo picha ndiyo tutaelewana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…