Marekani nayo imeiomba Israel isipige maeneo ya nyuklia.
Huyu rais wa Iran angeyasema haya kabla hawajatuma makombora, japo yalipanguliwa yote kiasi cha kutomdhuru mtu yeyote Israel.
Majibu yanakuja, muda wowote, raia wa Iran wanaweweseka kwenye mafoleni ya kusaka mafuta na bidhaa...