Leo ndio nimepima nimejirizisha kuwa kwa Tanzania kuwa na mageuzi ya kiuchumi ni ndoto Tena ya asubuhi. Kama ndio aina ya wabunge ndio hawa wanaochambua.
Mambo Kama vile tuna safari ndefu ndio maana kumbe mambo mengi ya ajabu
Yanapitishwa bungeni mara tozo, mara Kodi nk kumbe tumekosa watu...