Huko kwenye jimbo la Georgia nchini Marekani, mtoto wa miaka 14, Colin Gray alivamia shule aliyokuwa anasoma ya kuitwa Apalachee High School.
Mtoto huyo ambaye insadakika kuwa alichukua bunduki ya baba yake alifanya unyama huo shuleni hapo na aliweza kuua walimu wawili na wanafunzi wawili...