Habari za hapa, hivi hapa Dsm wapi naweza pata physiotherapy massage ile ya ku strength viungo vina lia kama vinekakama .. unavutwa mpaka sikio linaitika! Mwili umechoka umebana vibaya mno! Nipe ramani!
Note: Nahitaji massage tiba haswa na sio starehee!
Hello.. karibuni sana wote ambao mnahitaji huduma ya massage. Nipo mm na wenzangu. Tuna timu yetu mikoa mbali mbali. Mimi binafsi nipo dar es salaam. Namba yangu ni 0787264085. Karibuni sana wote kwa huduma nzuri.
Asante
Natumai mu buheri wa afya. Nimeokota dodo la kishua pale Africa Sana. Katika chats za hapa na pale akadai sexual fantasy yake ni body massage kabla ya tendo la ndoa. Kwa kujimwambafy nikajikuta namuambia kuwa hivyo ndo vitu vyangu
Jumapili hii mtoto anatinga Uswazi kumezeshwa Dudukee. Kuhusu...
Mimi kama kijana mdogo wa miaka 29 maana uzee uanza 45 years, napenda kupendeza sana na uhandsome wa mwanaume ni kunyoa.
Story inaanza nimeamka Jumamosi flani mapema nikaenda jumuiya na nikafanya majukumu binafsi, Nikaamua niende Sinza kunyoa sitataja saluni kuingia nikanyoa fresh.
Sasa...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewataka Wakuu wa Wilaya kuzifungia sehemu zote zinazofanya biashara za masaji ambazo zinakiuka maadili ya Mtanzania ikiwemo zile ambazo zimegeuza maeneo ya masaji kuwa madanguro.
“Kwa mfano juzi mmeona kuna lipicha linazagaa la masaji upande wa...
Hello, kuhusu sakata la ongezeko la majumba ya massage services hasa lile vibe la body to body + happy ending, na promo yake ya nguvu, nachelea kusema ukizingatia privacy iliyopo maeneo hayo tutarajie ongezeko kubwa la ushoga na usajili.
Massage zitavunja sana watu bikra zao za matundu madogo...
Nomba mnieleze hapa je kazi ya massage ni nzuri kwa kujiendeleza maisha ama ni pesa zimelaaniwa, maana nina miaka 10 kwenye hii kazi ila sioni faida yake.
Angalau ninunue ploti nijenge. Utapata mtu anauza kibanda cha mboga na yuko mbele sana
Kama una mke wako anaenda massage rooms nakushauri kuwa mkali au kama una mume anaenda nakushauri mkanye.
Niliyojionea kwenye hizi sehemu siri yangu. Siharibu biashara za watu lakini hizo rooms kuna wanawake na wanaume ambao wapo kwa ajili ya kazi na wanafanya vizuri lakini pia kuna makahaba...
Wabunge walitaka huduma za Urembo na "Massage" zijumuishwe kwenye Vifurushi vya Bima za Matibabu yao ambapo Tume ya Huduma za Bunge (PSC) imekataa na kuwataka kutumia fedha zao wenyewe kupata huduma hizo.
Hata hivyo, Wabunge hao watapata Bima ya Tsh. Milioni 206 ikijumuisha na familia zao...
Habari Wakuu,
Nimesafiri Mbeya kikazi, Nina uchovu wa safari manake nimesafiri na private car.
Hivi hapa Mbeya kuna sehemu naweza pata huduma ya massage yaani ile hot massage na mabinti warembo wenye kujua kazi yao...
Nitashukuru kama nitapatiwa na Bei zake..
Ahsanteni Sana
Baraza la tiba asili na tiba mbadala Tanzania limeagiza vituo vyote vinavyotoa huduma za kusinga maarufu kama “massage” kuhakikisha vinajisajili pamoja na kusajili watoa huduma wao kabla ya Machi 31 mwaka huu.
Baraza limeeleza kwamba usajili huo utafanyika kwa kituo husika pamoja na watoa...
Ktk vitu ambavyo intelijensia haijachukulia mzaha ni pamoja na swala la Polepole. Hata kama mlichelewa kumfumba mdomo lakini atleast mmejaribu.
Huyu Polepole tungemchekea mwisho wa siku tungevuna mabua
Waswahili husema ukimchekea sana Mbwa itakuja siku atakufata msikitini. Haiwezekani mtu...
Nawasalimu!
Basi bhana siku ya ijumaa nimekaa Zangu ofisini mwili unaniuma sana, kuanzia kiuno mpaka mgongo, nikawaza nitafute sehemu nifanye massage.
Nikaingia Instagram kufatuta page zinazofanya huduma hizo nikabahatika kuipata moja iliyojirani na mitaa yangu, nikawacheki wahudumu kwa simu...
Nawasilisha kwenu wakuu. nimekuwa na safari nyingi na mwili umechoka sasa. Kama sio Magomeni basi iwe karibu.Au kama una contacts zao nimlete hapa kwangu.
Je mwili wako unauchovu? Haujisikii vizuri kutokana na misuli ya mwili kukaza? Je unajisikia viungo vya mwili wako havipo sawa?
Umekuwa na matatizo ya maumivu ya mgongo mara kwa mara, misuli kukaza, mifupa pamoja na ngozi kusinyaa au kuwa ngumu?
Ondoa shaka nipo kwa ajili ya kuondoa matatizo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.