massage

  1. Physiotherapy Massage ! Massage

    Habari za hapa, hivi hapa Dsm wapi naweza pata physiotherapy massage ile ya ku strength viungo vina lia kama vinekakama .. unavutwa mpaka sikio linaitika! Mwili umechoka umebana vibaya mno! Nipe ramani! Note: Nahitaji massage tiba haswa na sio starehee!
  2. Mafuta ya massage ambayo ni mazuri

    Habari, Naomba kuuliza ni mafuta gani manzuri kwa ajiri ya massage, na yanauzwa sh ngapi?
  3. A

    Natoa Huduma ya massage kwa wababa na wamama wanaosumbuliwa na migongo

    Hello.. karibuni sana wote ambao mnahitaji huduma ya massage. Nipo mm na wenzangu. Tuna timu yetu mikoa mbali mbali. Mimi binafsi nipo dar es salaam. Namba yangu ni 0787264085. Karibuni sana wote kwa huduma nzuri. Asante
  4. Mafuta gani ni mazuri kwaajili ya Body Massage kwa wapenzi?

    Natumai mu buheri wa afya. Nimeokota dodo la kishua pale Africa Sana. Katika chats za hapa na pale akadai sexual fantasy yake ni body massage kabla ya tendo la ndoa. Kwa kujimwambafy nikajikuta namuambia kuwa hivyo ndo vitu vyangu Jumapili hii mtoto anatinga Uswazi kumezeshwa Dudukee. Kuhusu...
  5. Video: Professional massage, ni balaa!

  6. Wadada wa massage sio watu wazuri kabisa

    Mimi kama kijana mdogo wa miaka 29 maana uzee uanza 45 years, napenda kupendeza sana na uhandsome wa mwanaume ni kunyoa. Story inaanza nimeamka Jumamosi flani mapema nikaenda jumuiya na nikafanya majukumu binafsi, Nikaamua niende Sinza kunyoa sitataja saluni kuingia nikanyoa fresh. Sasa...
  7. RC Chalamila aagiza Biashara za 'Massage' zinazokiuka maadili zifungiwe

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewataka Wakuu wa Wilaya kuzifungia sehemu zote zinazofanya biashara za masaji ambazo zinakiuka maadili ya Mtanzania ikiwemo zile ambazo zimegeuza maeneo ya masaji kuwa madanguro. “Kwa mfano juzi mmeona kuna lipicha linazagaa la masaji upande wa...
  8. Upo uwezekano biashara ya massage+ na vibes za body to body na kachumbari ya happy ending vitaongeza kasi kupaa kwa ushoga na usagaji

    Hello, kuhusu sakata la ongezeko la majumba ya massage services hasa lile vibe la body to body + happy ending, na promo yake ya nguvu, nachelea kusema ukizingatia privacy iliyopo maeneo hayo tutarajie ongezeko kubwa la ushoga na usajili. Massage zitavunja sana watu bikra zao za matundu madogo...
  9. M

    Je, kazi ya Massage imelaaniwa? Nina miaka 10 kwenye hii kazi ila sioni faida yake

    Nomba mnieleze hapa je kazi ya massage ni nzuri kwa kujiendeleza maisha ama ni pesa zimelaaniwa, maana nina miaka 10 kwenye hii kazi ila sioni faida yake. Angalau ninunue ploti nijenge. Utapata mtu anauza kibanda cha mboga na yuko mbele sana
  10. Sehemu za Massage ziangaliwe kwa umakini mkubwa

    Kama una mke wako anaenda massage rooms nakushauri kuwa mkali au kama una mume anaenda nakushauri mkanye. Niliyojionea kwenye hizi sehemu siri yangu. Siharibu biashara za watu lakini hizo rooms kuna wanawake na wanaume ambao wapo kwa ajili ya kazi na wanafanya vizuri lakini pia kuna makahaba...
  11. Tulipofika sasa huko kwenye MASSAGE na SPA centres..

    I'm speechless
  12. Kenya: Wabunge wanyimwa huduma za "Masaji" na Urembo kwenye Bima ya Afya

    Wabunge walitaka huduma za Urembo na "Massage" zijumuishwe kwenye Vifurushi vya Bima za Matibabu yao ambapo Tume ya Huduma za Bunge (PSC) imekataa na kuwataka kutumia fedha zao wenyewe kupata huduma hizo. Hata hivyo, Wabunge hao watapata Bima ya Tsh. Milioni 206 ikijumuisha na familia zao...
  13. Mbeya kuna sehemu naweza pata huduma ya massage?

    Habari Wakuu, Nimesafiri Mbeya kikazi, Nina uchovu wa safari manake nimesafiri na private car. Hivi hapa Mbeya kuna sehemu naweza pata huduma ya massage yaani ile hot massage na mabinti warembo wenye kujua kazi yao... Nitashukuru kama nitapatiwa na Bei zake.. Ahsanteni Sana
  14. Wanaotoa huduma za ‘massage’ watakiwa kujisajili

    Baraza la tiba asili na tiba mbadala Tanzania limeagiza vituo vyote vinavyotoa huduma za kusinga maarufu kama “massage” kuhakikisha vinajisajili pamoja na kusajili watoa huduma wao kabla ya Machi 31 mwaka huu. Baraza limeeleza kwamba usajili huo utafanyika kwa kituo husika pamoja na watoa...
  15. R

    Naipongeza TCRA kwa kumkomesha Polepole and the Likes: Massage sent!

    Ktk vitu ambavyo intelijensia haijachukulia mzaha ni pamoja na swala la Polepole. Hata kama mlichelewa kumfumba mdomo lakini atleast mmejaribu. Huyu Polepole tungemchekea mwisho wa siku tungevuna mabua Waswahili husema ukimchekea sana Mbwa itakuja siku atakufata msikitini. Haiwezekani mtu...
  16. T

    Massage ni danguro lililochangamka

    Nawasalimu! Basi bhana siku ya ijumaa nimekaa Zangu ofisini mwili unaniuma sana, kuanzia kiuno mpaka mgongo, nikawaza nitafute sehemu nifanye massage. Nikaingia Instagram kufatuta page zinazofanya huduma hizo nikabahatika kuipata moja iliyojirani na mitaa yangu, nikawacheki wahudumu kwa simu...
  17. Nitapata wapi body-to-body nzuri massage hapa Magomeni

    Nawasilisha kwenu wakuu. nimekuwa na safari nyingi na mwili umechoka sasa. Kama sio Magomeni basi iwe karibu.Au kama una contacts zao nimlete hapa kwangu.
  18. K

    Massage Course...

    Wakuu wapi naweza kupata course ya kufanya massage maana kila nikiwaza njemba iwe ina mshika shika mamiloo hapana aisee.
  19. M

    Huduma ya Massage kwa Wanawake ♀️

    Je mwili wako unauchovu? Haujisikii vizuri kutokana na misuli ya mwili kukaza? Je unajisikia viungo vya mwili wako havipo sawa? Umekuwa na matatizo ya maumivu ya mgongo mara kwa mara, misuli kukaza, mifupa pamoja na ngozi kusinyaa au kuwa ngumu? Ondoa shaka nipo kwa ajili ya kuondoa matatizo ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…