Kazi ni massage service.
Sifa za waombaji
1. Awe msichana kuanzia miaka 18 hadi 30.
2. Awe ana ujuzi wa massage na urembo (beauty therapy)
3. Awe mkazi wa dar es salaam, ikiwa anaishi mikocheni,sinza,mbezi beach,kijotonyama,kawe atapewa kipaumbele.
4. Awe tayari kufanya kazi bila msukumo...