Timu ya Singida Black Stars imetangaza kwamba mechi ya leo dhidi ya Yanga watapunzisha mastaa wao wa kigeni na kuchezesha wazawa ,wamedai wanapunzisha wachezaji mastaa kwa ajili ya game zinazokuja maana ratiba imekuwa ngumu.
NB: Hii ni match fixing ya wazi,unapunzishaje wachezaji wenye uwezo...
Siku zinakwenda namkumbuka Tupac Amar Shakur 2Pac msanii mwenye sauti yenye nguvu katika muziki wa hip hop,Alijitokeza sana kuhamasisha vijana na jamii kuhusu masuala ya kijamii na kisiasa,Nyimbo zake nyingi ziliangazia ubaguzi wa rangi,umaskini, na ukosefu wa haki za kijamii,je angekuwepo hai...
Kikosi cha Yanga kwa kundi la pili limepaa leo alifajiri kuifuata CBE SA ya Ethiopia kwa ajili ya mchezo wa mkondo wa kwanza wa raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Wachezaji walioondoka leo ni wale ambao walikuwa hawana majukumu kwenye timu zao za taifa, wakati mastaa kama Djigui Diarra...
Licha ya mafanikio yao makubwa katika muziki, wasanii wa Bongo wamekuwa wakipiga hela kupitia biashara na miradi tofauti nje ya muziki:
1. Diamond Platnumz – Mbali na muziki, Diamond amejikita kwenye sekta ya habari akiwa na Wasafi TV na Wasafi FM. Pia, alianzisha lebo ya muziki WCB Wasafi...
alikiba
bongo
diamond platnumz
harmonize
hela
mastaa
muziki
nandy na bilinass
nje
ommy dimpoz
rayvanny
sugu mbeya
wasafi bet
wasafi fm
wasafi tv
wcb wasafi
Kila nabii na zama zake. Leo tuwakumbuke mastaa waliovuma na kuitikisa bongo miaka ya 2000 mpaka 2010. Mastaa hao wanaweza kuwa walivuma kwenye kandanda, muziki, maigizo, siasa, nk
Amina Chifupa wa Mpakanjia
Alikuwa maarufu sana kwa wakati wake na pengine hakuna staa wa kike aliyemfikia kwa...
Siwasemi Bongo movie najua ni unga unga unga mwana,nawaongelea hawa wasukuma ndinga ulaya.
Siku ile imetokea majanga kule hanang dunia nzima ilifahamu kilichotokea lakini sikuona wachezaji hawa wakituma michango yao ya hali na Mali nikawaza sana mambo haya yangetokea nchini kwakwe mane dunia...
Wahenga wanasema mapenzi ni kikohozi hakiwezi kufichika .
Inaonekana Zainabu fundi sana naona ndugu yetu Haji Manara kakolea na penzi analopewa na Zai mpaka kaamua kuvunja kiapo chake cha kutooa tena mpaka anaingia kaburini.
Halafu imekuwa ghafla sana aisee hata miezi mitatu haijaisha Bugati...
DJ huyo amehoji sababu za Mastaa hao wa Hip Hop kutozungumza chochote kuhusu Mapigano yanayoendelea kati ya Majeshi ya Israel na Kundi la HAMAS ambayo yamesababisha vifo vya zaidi ya Watu 2,000 na majeruhi wanaokadiriwa kufikia 10,000
Vlad ameandika kupitia X "Je, kuna mtu yeyote aliyeona...
Hellow africa
Sikutegemea Zari kwenda element kuspend sio hazi yake yeye alitakiwa kwenda maeneo kama wavuvi kempu, karambezi, sea crif, cape town huko ndiko anaweza tumia pesa pale anagawa tu
Wasanii wa Muziki kutoka #Nigeria wanaendelea kushika nafasi nyingi na za juu kwenye kiwanda cha Muziki Afrika na Nje ya #Afrika ambapo katika orodha ya nyimbo 10 zilizosikilizwa zaidi kupitia #Spotify, kuna Mastaa 8 wa Nchi hiyo.
Nafasi mbili pekee zimebaki kwa Mastaa wa Nchi nyingine ikiwemo...
PARIS, UFARANSA.
Hivi karibuni stori kubwa ni kumhusu mchezaji wa kimataifa wa Morocco anayeichezea PSG, Achraf Hakim ambaye ameandikisha mali zake zote chini ya jina la mama yake, hivyo mkewe ameambulia patupu baada ya kuwasilisha maombi ya talaka mahakamani.
Hakim ambaye alifunga ndoa na...
Tabia za haya madogo kuiga fan za mabrother au masistet wao sio nzuri hata kidogo. Kwani ni lazima kila mtu awe star, wengine wabaki mashabiki tu. Sasa mbaya zaidi unakuta lidogo linamwuigiliza kakaye/dadaye mpaka linamfunikaa. Hii hali inaumiza sana na hawa hapa ndio madogo wanaowakimbiza...
Licha ya kuteuliwa kuwania Tuzo ya GRAMMY mara 10, Nicki Minaj hajawahi kupata tuzo hiyo, Snoop Dogg ameteuliwa mara 20, Katy Perry (13), Jennifer Lopez (2), Busta Rhymes (12) na Miley Cyrus (2).
Wengine ambao tayari wameshafariki ni pamoja na Tupac, aliwahi kuteuliwa mara 6 na hakushinda, Bob...
Ni kama ndoto ila ndo yanatokea kweli! Ndani ya miezi miwili mastaa wa mpira duniani wanaotambulika na kufahamika duniani kote wanamiminika Tanzania kwa fujo sana!
Mastaa hawa wanapiga picha kwenye mbuga zetu za Serengeti na Ngorongoro na maeneo ya Zanzibar na wanazipost kwenye pages zao...
Staa mwenye cash bila dili za matangazo jana alimfanyia mtoto wake wa pekee sherehe ya kipaimara iliyomgharimu zaidi ya million 100! Kwa kweli ilikuwa ni sherehe ya kifalme.
UONGOZI wa klabu ya Yanga umefichua sababu za kuwasajili wachezaji kwa mikataba mifupi ni kutokana na mifumo ya soka hapa nchini ilivyo.
Klabu nyingi za Tanzania zimekuwa na utaratibu wa kuwapa wachezaji wake mikataba mifupi ikiwemo miezi sita, mwaka mmoja hadi miwili na Yanga wameweka wazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.