mastaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Singida Black Stars kuchezesha wazawa leo ili kupunzisha mastaa wao wa kigeni

    Timu ya Singida Black Stars imetangaza kwamba mechi ya leo dhidi ya Yanga watapunzisha mastaa wao wa kigeni na kuchezesha wazawa ,wamedai wanapunzisha wachezaji mastaa kwa ajili ya game zinazokuja maana ratiba imekuwa ngumu. NB: Hii ni match fixing ya wazi,unapunzishaje wachezaji wenye uwezo...
  2. Vijana wa 1980's tunaelekea kuwakana mastaa tuliokua nao, tuliiga kila aina ya maisha waliyoishi, hatukujua ya sirini

    Siku zinakwenda namkumbuka Tupac Amar Shakur 2Pac msanii mwenye sauti yenye nguvu katika muziki wa hip hop,Alijitokeza sana kuhamasisha vijana na jamii kuhusu masuala ya kijamii na kisiasa,Nyimbo zake nyingi ziliangazia ubaguzi wa rangi,umaskini, na ukosefu wa haki za kijamii,je angekuwepo hai...
  3. J

    Baadhi ya mastaa yanga watua Ethiopia kukipiga na CBE

    Kikosi cha Yanga kwa kundi la pili limepaa leo alifajiri kuifuata CBE SA ya Ethiopia kwa ajili ya mchezo wa mkondo wa kwanza wa raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Wachezaji walioondoka leo ni wale ambao walikuwa hawana majukumu kwenye timu zao za taifa, wakati mastaa kama Djigui Diarra...
  4. Hivi ndivyo mastaa wa Bongo wanavyopiga hela nje ya muziki

    Licha ya mafanikio yao makubwa katika muziki, wasanii wa Bongo wamekuwa wakipiga hela kupitia biashara na miradi tofauti nje ya muziki: 1. Diamond Platnumz – Mbali na muziki, Diamond amejikita kwenye sekta ya habari akiwa na Wasafi TV na Wasafi FM. Pia, alianzisha lebo ya muziki WCB Wasafi...
  5. Forbes 2024: Michael Jordan, JAY-Z, Lebron James, Rihanna watajwa orodha ya Mastaa wenye Utajiri Mkubwa duniani

    1. Michael Jordan Utajiri: Tsh. Trilioni 8.2 | Miaka: 61 | Uraia: Marekani. 2. Oprah Winfrey Utajiri: Tsh. Trilioni 7.2| Miaka: 70 | Uraia: Marekani. 3. Jay-Z Utajiri: Tsh. Trilioni 6.4| Miaka: 54 | Uraia: Marekani. 4. Kim Kardashian Net Worth: $1.7 Billion | Age: 43 | Citizenship: U.S. 5. Tyler...
  6. Tuwakumbuke mastaa waliovuma Bongo miaka ya 2000 mpaka 2010

    Kila nabii na zama zake. Leo tuwakumbuke mastaa waliovuma na kuitikisa bongo miaka ya 2000 mpaka 2010. Mastaa hao wanaweza kuwa walivuma kwenye kandanda, muziki, maigizo, siasa, nk Amina Chifupa wa Mpakanjia Alikuwa maarufu sana kwa wakati wake na pengine hakuna staa wa kike aliyemfikia kwa...
  7. S

    Mastaa wa Bongo wanaisaidiaje jamii? Ubinadamu wa Mane na Ronaldo wanaoufanya sijawahi sikia huku kwa mastaa wetu

    Siwasemi Bongo movie najua ni unga unga unga mwana,nawaongelea hawa wasukuma ndinga ulaya. Siku ile imetokea majanga kule hanang dunia nzima ilifahamu kilichotokea lakini sikuona wachezaji hawa wakituma michango yao ya hali na Mali nikawaza sana mambo haya yangetokea nchini kwakwe mane dunia...
  8. Hatimaye Haji Manara atangaza ndoa rasmi na ZaiyLissa. Mastaa kibao akiwemo JB wameunga mkono

    Wahenga wanasema mapenzi ni kikohozi hakiwezi kufichika . Inaonekana Zainabu fundi sana naona ndugu yetu Haji Manara kakolea na penzi analopewa na Zai mpaka kaamua kuvunja kiapo chake cha kutooa tena mpaka anaingia kaburini. Halafu imekuwa ghafla sana aisee hata miezi mitatu haijaisha Bugati...
  9. Ukimya wa Drake na DJ Khaled kwenye mgogoro wa Israel na Palestina wawakera Mastaa

    DJ huyo amehoji sababu za Mastaa hao wa Hip Hop kutozungumza chochote kuhusu Mapigano yanayoendelea kati ya Majeshi ya Israel na Kundi la HAMAS ambayo yamesababisha vifo vya zaidi ya Watu 2,000 na majeruhi wanaokadiriwa kufikia 10,000 Vlad ameandika kupitia X "Je, kuna mtu yeyote aliyeona...
  10. Nikisema mastaa wenu hawana hela hasa bongo sasa Zari wakwenda kuspend element kwa jina alilonalo?

    Hellow africa Sikutegemea Zari kwenda element kuspend sio hazi yake yeye alitakiwa kwenda maeneo kama wavuvi kempu, karambezi, sea crif, cape town huko ndiko anaweza tumia pesa pale anagawa tu
  11. Duniani wawili wawili; Hawa ndio mastaa wanaofanana hapa Bongo

    1. Ally Kamwe na Privaldinho 2. Beka Flava na Mayele Ongeza na wako.
  12. Mastaa wa Nigeria wanakimbiza kila Charts za AfroBeats popote duniani

    Wasanii wa Muziki kutoka #Nigeria wanaendelea kushika nafasi nyingi na za juu kwenye kiwanda cha Muziki Afrika na Nje ya #Afrika ambapo katika orodha ya nyimbo 10 zilizosikilizwa zaidi kupitia #Spotify, kuna Mastaa 8 wa Nchi hiyo. Nafasi mbili pekee zimebaki kwa Mastaa wa Nchi nyingine ikiwemo...
  13. Talaka zilivyowafilisi mastaa wa Soka Duniani

    PARIS, UFARANSA. Hivi karibuni stori kubwa ni kumhusu mchezaji wa kimataifa wa Morocco anayeichezea PSG, Achraf Hakim ambaye ameandikisha mali zake zote chini ya jina la mama yake, hivyo mkewe ameambulia patupu baada ya kuwasilisha maombi ya talaka mahakamani. Hakim ambaye alifunga ndoa na...
  14. Full List: Mastaa waliotajwa kuwania Tuzo za Muziki Tanzania (TMA)

  15. Madogo wa mastaa bongo wenye talent kubwa

    Tabia za haya madogo kuiga fan za mabrother au masistet wao sio nzuri hata kidogo. Kwani ni lazima kila mtu awe star, wengine wabaki mashabiki tu. Sasa mbaya zaidi unakuta lidogo linamwuigiliza kakaye/dadaye mpaka linamfunikaa. Hii hali inaumiza sana na hawa hapa ndio madogo wanaowakimbiza...
  16. Mastaa 10 ambao hawajahi kushinda Tuzo ya GRAMMY licha ya ukubwa wao

    Licha ya kuteuliwa kuwania Tuzo ya GRAMMY mara 10, Nicki Minaj hajawahi kupata tuzo hiyo, Snoop Dogg ameteuliwa mara 20, Katy Perry (13), Jennifer Lopez (2), Busta Rhymes (12) na Miley Cyrus (2). Wengine ambao tayari wameshafariki ni pamoja na Tupac, aliwahi kuteuliwa mara 6 na hakushinda, Bob...
  17. Mastaa Wanaowania Tuzo Za Afrimma 2022

    Best Male West Africa Oxlade – Nigeria Kidi – Ghana Buju – Nigeria Black Sheriff– Ghana Fireboy– Nigeria Didi B – Ivory Coast Ruger – Nigeria Samba Peuzzi – Senegal Omah Lay – Nigeria Best Female West Africa Ammarae– Ghana Tems – Nigeria Josey – Ivory Coast Zeynab – Benin Ayra Star – Nigeria...
  18. Haijapata kutokea: Ndani ya Miezi 2 mastaa ya mpira duniani wanafurika Tanzania. Hongera Samia wewe ndo Deng Xiaoping wangu

    Ni kama ndoto ila ndo yanatokea kweli! Ndani ya miezi miwili mastaa wa mpira duniani wanaotambulika na kufahamika duniani kote wanamiminika Tanzania kwa fujo sana! Mastaa hawa wanapiga picha kwenye mbuga zetu za Serengeti na Ngorongoro na maeneo ya Zanzibar na wanazipost kwenye pages zao...
  19. Irene Uwoya afanya sherehe ya milioni 100 ya kipaimara cha mwanaye

    Staa mwenye cash bila dili za matangazo jana alimfanyia mtoto wake wa pekee sherehe ya kipaimara iliyomgharimu zaidi ya million 100! Kwa kweli ilikuwa ni sherehe ya kifalme.
  20. Siri za mikataba ya mastaa Yanga

    UONGOZI wa klabu ya Yanga umefichua sababu za kuwasajili wachezaji kwa mikataba mifupi ni kutokana na mifumo ya soka hapa nchini ilivyo. Klabu nyingi za Tanzania zimekuwa na utaratibu wa kuwapa wachezaji wake mikataba mifupi ikiwemo miezi sita, mwaka mmoja hadi miwili na Yanga wameweka wazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…