Huyu nae Kila Siku hajifunzi tu, kila siku mastaa wenzie wanamkimbia kwenye shughuli zake , ye kutwa kushoboka na za wenzie. Hizo pesa za kufanyia sherehe bora ungeenda kula na watoto yatima ukapata thawabu mbele za Mungu , unawaalika watu wanakunywa pombe za bure na kula bure halafu wanakusema...