mastergas

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Replica

    Video: Foleni ya kujaza Gesi Airport ni balaa, ni zaidi ya nusu kilometa mpaka wamewekewa traffic wao. Mamlaka hazioni huu usumbufu?

    Leo nikapanda bolt kutoka airport, kabla hatujaanza safari dereva akaingia kituo cha mafuta cha O-Lake airport, wakati wa kutoka naona traffic anaongoza magari na mengine anayakataa kukunja, kumbe anaongoza magari yanayoenda kujaza gesi kituo kwasababu yana kawaida ya kuziba barabara ya Mwl...
Back
Top Bottom