masuala ya kifamilia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je inawezekana kwa familia ya wafanyakazi kuishi bila dada wa kazi au ni kujiendekeza tu?

    Je inawezekana kwa familia ya wafanyakazi kuishi bila dada wa kazi au ni kujiendekeza tu? Naongelea kwa nyumba yenye baba na mama tu na wote ni wafanyakazi muda wote wote wanakuwa kazini na hawana watoto. Je una mifano hai ya walioweza kuishi wenyewe?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…