masuala ya kisheria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Usemi wa “Kutokujua Sheria hakuwezi kumuondolea hatia Mtuhumiwa” umetia watu wengi hatiani kimakosa

    Asilimia kubwa ya watu wengi wanaishi vijijini, Vijiji ambavyo kwa asilimia kubwa bado havijaendelea kiasi cha kuzijua Sheria vizuri sana. Sheria zipo lakini watu wengi hawazijui na hata adhabu zake pia hawazijui. Watu wengi wanaishi kwa mazoea na wako busy kutafuta kipato na sio kusoma na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…