masumbwi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    Masumbwi: Jake Paul ashinda pambano dhidi ya Mkongwe Mike Tyson

    - Jake Paul aibuka mshindi..... Score ilivyokuwa baada ya pambano. - Pambano limeishaaaaaa! - Jake anarusha ngumi huku kama anamsubiria Mike hivi, ila Mike anaonekana kachoka, zimebaki sekubde 26 - Round ya MWISHO. - Jake karisha punch mbili tatu mwishoni, round ya 7 imeisha. Wanafuta...
  2. Waufukweni

    Azam TV hawataonesha tena Vitasa, sababu ni mali ya Mwamakula

    Bondia Twaha Kiduku amethibitisha kuwa Azam Media haitarusha michezo ya masumbwi tena kutokana na mashtaka yaliyofunguliwa. Amepongeza Azam Media kwa mchango wake mkubwa katika kukuza michezo na sanaa nchini, akitaja kwamba kupitia Azam TV, michezo na vipaji vya vijana vimeimarika na kuleta...
  3. Shimba ya Buyenze

    Kwa wapenda Masumbwi (Boxing): Weka picha au video fupi ikionyesha KO au TKO unayoifagilia sana

    Mchezo unajulikana kama Boxing. Kwa jina jingine huitwa "The Sweet Science". Naam! Ni masumbwi. Ndondi. Vitasa! Ni mchezo wa hatari, mchezo ambao unamuonyesha Homo Sapiens kuwa ni kiumbe wa aina gani. Unakuwa peke yako ulingoni na mpinzani wako. Huna mtu mwingine wa kumlaumu. Na ukizubaa...
  4. The Assassin

    Natabiri Elon Musk wa Tesla/Twitter kumpiga KO Mark Zuckerberg wa Facebook kwenye Pambalo lao la Masumbwi

    Matajiri wawili Duniani, Bwana Elon Musk na Mark Zuckerberg wamekubali kuzichapa kavu kavu kwenye ulingo uliofungwa, caged match siku zijazo mjini Nevada. Binafsi natabiri Elon Musk kumfumua Mark kwa KO. --- Mr Musk posted a message on his social media platform Twitter that he was "up for a...
  5. Erythrocyte

    Bondia Tony Rashid avuliwa ubingwa ABU, yadaiwa ulikuwa wa koneksheni

    Hii ndiyo taarifa mpya iliyosambazwa mitandaoni, ambako inadaiwa Rais wa ABU Haucine Hauichi amegundua kwamba alama zilizotangazwa na Majaji wa mchongo zilipigwa karata tatu, keusi kekundu. Kwamba alizopaswa kupewa Sabelo Ngebinyana wa S. Africa akapewa Tony Rashid kwa njia ya Uzalendo. ABU...
  6. Merci

    Pambano la ngumi kati ya Liam Smith Vs Hassan Mwakinyo

    Fuatilia pambano la masumbwi kati ya bondia wetu Hassan Mwakinyo dhidi ya Liam Smith leo tarehe 3 saa nne na nusu usiku huu kupitia link hii https://www.vipleague.st/boxing-sports-stream
  7. American Dream

    Unapigana Masumbwi ushinde TV inch 32

    """Bondia wa ngumi za kulipwa nchini amefanikiwa kutunukiwa zawadi ya TV Inch 32 kufuatia kuibuka bondia aliyecheza vizuri zaidi katika pambano lake alilomchapa Elvis Mensah raia wa Ghana katika pambano lilopigwa jana usiku kwenye Arena ya Bukom Boxing iliopo Accra, Ghana""" MAONI YANGU: WADAU...
  8. Linguistic

    Usiku wa Leo Kwenye Masumbwi

    Errol Spence Jr Vs Yourdenis Ugas Ni vita, Ni moto, Ni hatari! Mtoto hatumwi Dukani!
  9. poposindege

    Septemba 03, 2021, Bondia Hassan Mwakinyo anataraji kupambana na Bondia kutoka Namibia Julius Munyelele Indongo

    Septemba 03, 2021, Bondia Hassan Mwakinyo anataraji kupambana na Bondia kutoka Namibia Julius Munyelele Indongo mwenye umri wa miaka 38 katika pambano la kugombea mkanda wa ABU (African Boxing Union) uzito wa Super Welter katika ukumbi wa Kilimanjaro Hall, Ubungo Plaza, Dar-Es-Salaam. Rekodi ya...
Back
Top Bottom