Ukipata barabara ya Kilwa kuanzia Central police hadi mbagala zimewekwa taa Hivi karibuni, hizi taa zimeweka kila baada ya kila baada ya meta 50-100, zinasababisha foleni kubwa sana, mbaya zaidi nyingi hazipo kwny junction zaidi ya vivuko vya waenda kwa miguu. Wahusika hasa temesa waliangalie...
Sijui hata cha kusema!
Lakini masikitiko yangu matokeo ya ufungaji wa taa za barabari Kilwa road na Chang'ombe road yanaenda kuibua kero kubwa ya msongamano wa magari kuliko ilivyo hata hivi sasa.
Lengo la taa limelenga kuvusha watembea kwa miguu salama lakini kwa upande wa pili linakwenda...
Wakuu kwema?
Majuzi nilipita njia hii nikienda kuswampa Saba Saba, wakati wa kurudi ndio nikaona changamoto hii, barabara eneo hili zimekaa vibaya sana, kama siyo mwenyeji ni rahisi sana kusababisha ajali.
Hakuna mataa ya kuongozea magari, hivyo magari yanaenda hovyo kila mtu akiwa na lengo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.