Hizi taa za kuongoze magari zilizopo maeneo ya Kituo cha Magari cha Nata hapa Mwanza ni changamoto kubwa, hazifanyi kazi na zimekuwa zikisababisha foleni zisizo na sababu.
Eneo hilo limekuwa korofi kwa muda kutokana na kuwa chanzo cha ajali nyingi kwa kuwa kila anayepita hapo analazimika...