Ni jambo la kushangaza sana, katika njia ya Mwenge kuelekea Tegeta kuna askari wa traffic wanne ambao badala ya kuongoza magari na kurahisisha foleni, wamegeuza eneo hilo kuwa kituo cha kudai rushwa.
Wanaacha majukumu yao ya msingi na kushughulika na dhambi, hali inayosababisha mateso makubwa...