Wakuu, habari za jioni.
Kwanza kabisa napenda kutamka wazi kwamba mimi ni Mtanzania ninaetamani tuwe na Muundo pendekezwa wa serikali tatu.
Nikirudi kwenye mada yangu, nimeshangazwa sana na kitendo cha serikali kuamua kutugawa katika matabaka kwa kutaka tutambulike Utanzania wetu ni wa Bara...