Siku moja, Mungu alinyang'anya kila mtu mali yake. Watu wote waliachwa bila chakula na walikuwa na njaa siku nzima. Siku ya pili yake jioni, Mungu alimpa kila mtu kuku.
Kundi la kwanza lilifurahi sana kupewa kuku hao na hawakufikiria chochote zaidi yakuchinja na kula kuku wao. walikula na...