mataifa ya ulaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mataifa ya Ulaya kukubali kimya kimya kulipa kupita Mlango-Bahari wa Hormuz

    Wanakumbi. 🇪🇺🇮🇷 Mataifa ya Ulaya yanaonekana kukubali kimya kimya ada za Iran kwenye usafiri wa Mlango wa Hormuz kama jambo lisiloepukika. Sasa wanalenga tu kuhakikisha ada hizo zinatumika sawa kwa vyombo vyote vya maji badala ya kupigana na kanuni yenyewe. Wiki 2 zilizopita Meloni alikuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna kila dalili za mataifa ya ulaya, Korea ya kusini na Japan kuingilia mzozo wa Iran

    Kulingana na duru mbalimbali za kisiasa na mizozo ya kimataifa kuna kila namna ya mataifa ya ulaya na Asia hasa Japan na Korea ya kusini kuingilia mzozo wa mashariki ya kati kuhusu usafiri wa mfereji wa Homuiz. Leo Korea imetoa taarifa inayoashiria kuwepo kwa mipango hiyo. Soon or never
  3. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Museveni: Mataifa ya ulaya Waliwapotosha Watanzania Kufanya Ghasia

    Rais Yoweri Museveni ametoa onyo kwamba mataifa ya Ulaya yanaanzisha vurugu na machafuko katika eneo la Afrika Mashariki, akiwatuhumu kwa kuwapotosha vijana nchini Tanzania na mataifa mengine jirani kwa lengo la kuleta ukosefu wa utulivu na kudhoofisha juhudi za maendeleo ya viwanda na mafuta za...
  4. X

    JamiiForums Tanzania X (twitter) wameondoa mahudhui ya porno/ngono kwa wanaotumia VPN zinazosoma hosts mataifa ya Ulaya na U.K

    Kuondolewa kwa chudai ni kutokana na EU na UK kutaka age verification kwa watumiaji, hivyo wamepiga kufuli au censorship kwa mahudhui yote ya ngono. Majanja wa Ulaya na Uingereza wamekuwa waraibu wa porno kwenye X (twitter) Kwa wale wapenzi wa video za kirumi au pilau, watasha wanaita adult...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Taasisi zinazotetea haki Tanzania ziyaombe Mataifa ya Ulaya kufikisha malalamiko juu ya Ukiukaji wa Haki za Binadamu UN Security Council

    Ili kuepuka maafa ambayo mazingira yake yanatengenezwa kwa kasi na watawala na Serikali, ikihusisha: 1. Utekaji wa wanaokemea udhulumaji wa haki za Wananchi 2. Upotezwaji wa wanaokosoa udhulumaji wa haki za wananchi. 3. Mauaji ya wanaokosoa mifumo ya ugandamizaji haki, na vitendo vya...
  6. JamiiForums Tanzania Ugomvi wa Trump na Zelensky pamoja na mataifa ya Ulaya ni kusema vita vimewashinda baada ya kutaraji kupata sifa za ushindi

    Mambo tunayoyashuhudia mashariki ya kati ,Ulaya na Asia ni dalili tosha kuwa binadamu akipanga na Mungu anakuwa na mpango wake ulio bora zaidi ambao umejificha. Kwa wingi wa silaha walizonazo wababe wa dunia na mbwembwe walionza nazo kila mmoja alitaraji kumaliza vita baada ya muda mfupi...
  7. JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar es Salaam yavutia Mataifa ya Ulaya, Asia na Afrika

    Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam. Maboresho makubwa na uwekezaji unaoendelea kufanywa katika Bandari ya Dar es Salaam yamekuwa kivutio kwa mataifa mbalimbali ya Afrika na Ulaya kuja kuangalia na kushuhudia utendaji kazi wake na uwezekano wa kuanza kufanya kazi nao. Serikali ya awamu ya sita...
  8. JamiiForums Tanzania Walowahi kusoma, kufanya kazi au kuishi Ulaya na viunga vyake naombe kuyafahamu mambo haya

    TAHADHARI :Kama ujawahi kufika Ulaya usicomment kwenye huu uzi. WAKUU nipo najianda kusaka full funded Scholarship Nchi za Ulaya, sasa nilikua naomba muongozo wa nchi za ya kwenda na maisha ya upambanaji yapoje huko yani kazi nje ya masomo na malipo kwa ujumla. Mambo ya kufanya na kutokufanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…