Habari,
Karibu ujipatie tyres mbali mbali pia Kwa wale ambao hamna ufahamu mzuri wa matairi ya magari makubwa mtapata maarifa kidogo pia na bei za kizalendo kabisa.
Nitaanza na kutoa somo ili kila mtu anayehitaji kununua tyres apate ufahamu mzuri.
Hii itasaidia kujenga uelewa mzuri Kwa wateja...