Kwamba, kila mtu ni tajiri…
Kila mtu ana gari/ magari.
Kila mtu ana digrii. Kila mtu ana nyumba.
Kila mtu ana nguvu [nyingi] za kiume.
Kila mdada ana umri chini ya miaka 20.
Kila mtu hivi. Kila mtu vile.
Ili mradi tu ni ‘kila mtu’.
Huo ni uongo. Ni uzushi.
Hakuna sehemu yoyote ile ambayo...