Watu wanaoamini katika mambo makubwa wanaitwa wabunifu wa maono makubwa au watu wenye maono makubwa.
Hawa ni watu ambao wanaamini na kutafuta kutimiza malengo ya juu au malengo makubwa ambayo wengine wanaweza kuyaona kama changamoto au yasiyowezekana. Sifa zao ni pamoja na:
1. Ubunifu –...
Baada ya msululu wa vikwazo kutoka Maofisa wa Nchi yake kupamba moto kisa kujenga kiwanda Cha Mafuta,Dangote anaelekea kusalimu amri na kubwaga Manyanga.
Bwana Dangote anadai aliamua kujenga kiwanda kikubwa Cha Mafuta Afrika Ili kuisaisia Nchi yake ila Kuna watu hawajapendezwa nae ambapo...
Matajiri kumi wa dunia, 9 ni wa MAREKANI mmoja MFARANSA
Products zao zinajulikana. Hapo kuna google, Microsoft, Tesla, space x, Apple nk.
Je, na wao wanachapisha mi dollar. Tuache kushupaza shingo, eti USA wana print dollar.
1. Bill Gates
Huyo ametoa sehemu kubwa ya utajiri wake kusaidia sekta muhimu za Afya, Kilimo, Mazingira na Elimu kote duniani. Amechangia pakubwa kumaliza tatizo la polio kwenye mataifa kama Nigeria na India. Amezipa nchi nyingi masikini mabilioni ya pesa kupitia miradi mbalimbali kwa ajili tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.