Leo nawasanua mabosi wa mabasi acheni kukomaa na Njia za dar-moro, chalinze-moshi na Dodoma-Moro pekeake Kuna hili chimbo la Dodoma Arusha gari ni chache aisee halafu abiria ni kibwena yaani kama wenzenu walikataa kuwashtua mi ndo nawasanua hivyo
Kiukweli hii barabara iko busy sana ila...
Baada ya SGR Kuwapelekea moto Matajiri wa Mabasi ,Sasa wameamua kurudi kwenye route ambazo walizotelekeza. Ikumbukwe bwana Shabiby Line imewahi kusafiri hii route ya Swax-Dom Kwa mda mfupi kabla ya kuwakacha Wafipa.👇👇
Ushauri
Sidhani kama atadumu hapo kabla ya kutupa taulo tena maana Abiria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.