Nikiri tu kwamba mimi namchukia sana huyu dogo. Sababu ni moja tu, kuonesha dharau na Chili kwa mtu aliyemsaidia. Sote tunajua maisha yalivyo magumu mtaani. Sasa ukipata mtu akushike mkono inatakiwa kumpa heshima yake.
Sasa huyu mjinga leo nimeangalia Interview yake akiwa Rwanda katikati ya...