matamanio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bob Manson

    Ndoto na matamanio yangu ni kuona Binti yangu anakuwa Mama bora na Mlezi mzuri wa familia yenye

    Binafsi naamini purpose kuu ya mwanamke katika dunia hii ni kuwa mama bora wa familia yenye furaha na Amani. Mimi ndoto na matamanio yangu ni siku moja nimuone mwanangu wa kike akiolewa kwa wakati sahihi na mtu sahihi, awe mama bora na mlezi bora wa familia yake, hiyo ndiyo itakuwa furaha kuu...
  2. ichumu lya

    Matamanio ya Trump juu ya Afrika je waaafrika tunayachukuliaje?

    "TRUMP ASITISHA MISAADA YA NJE KWA SIKU TISINI, WHO YAAHA KUTAFUTA NJIA YAKUJIKWAMUA KWA KITISHO CHA TRUMP " Anaekulisha anakutawala anae kuvisha anataka umnyenyekee alisema Castro badae Sankara Kisha Traole Sasa ni wakati wawaafrika kuamka kwenye usingizi. Mzito uliojaa ndoto butu zakuitegemea...
  3. kipara kipya

    Lissu ni yule yule akikosa matamanio yake huwa anawageuka walio karibu yake

    Lissu 2020 baada ya kushindwa uchaguzi na Magufuli aliwatukana na kuwadharau wananchi baada ya kumpuuza alipowaita watoke barabarani akawambia ni wapumbavu sana wasiojielewa akiwa nchini ubelgiji,Lissu aliporudi akaja na operation zake nyingi lakini ukiangalia zilikuwa nje ya chama mwenyekiti...
  4. Magical power

    Oa au olewa na mtu wa udhaifu wako yule wa matamanio yako ili ujivunie

    Hakikisha unakuwa na mtu wa udhaifu wako yaani kuna raha nikisema kuna raha niamini kuna raha jamani. Oana na wa aina yako Ukimuwaza unapata hisia, huchoki kumtazama, unatembea naye njiani kwa kujiamini. Hutopenda ajihisi mpweke au umtese kihisia Ndugu yangu usikubali kuambatana na mtu asiye...
  5. Kaka yake shetani

    Mapungufu kwenye matamanio

    Umeelewa nini hapa tunapokutana kwenye matamanio
  6. KENZY

    ukiweza ku balance hisia zako utafanikisha matamanio yako!

    hisia ndio mtihani mgumu sana kwenye maisha ya mwanadamu na hii kwangu mimi binafsi ndio inanipa tafsiri ya wanadamu kuwa hatuko kamili!. mtihani upo hapa sio tu kuzishinda hisia zako ndio utafaulu hapana bali ukiweza ku balance hisia zako ndio utafaulu!. kwa maana ukizishinda sana hisia...
  7. Eli Cohen

    Jihadi haina utakatifu wowote, ni mkakati wa matamanio binafsi ya waasisi wa itikadi kali

    Ngoja nikuambie vyema mpendwa kama hautaki kuelewa basi bishana na mizimu ya nyumbani kwenu. Hakika njia iliobaki kipindi waasisi wenu wanaijenga imani yenu na kuisambaza ilikuwa ni force na intimidation. Kipindi Muhamad anaanzisha imani yenu aliwahakikishia imani nyingine za uyahudi na...
  8. Eli Cohen

    Matamanio ya watu yana "evolve", ndio maana zamani makalio hayakuwa kigezo katika mapenzi na urembo

    Angalia ndugu, dunia ya mapenzi, urembo na fashion inaendeshwa kutokana na matamanio ya mwanaume. Vile desires za mwanaume zilivyokuwa zina evolve (kubadilika kutokana na muda) ndivyo vile ilivyopelekea kubadilika kwa nature ya mapenzi na urembo. Mwanadamu asili yake ni kuhitaji zaidi...
  9. polokwane

    Rais Samia nikuombe sikiliza vilio vya wananchi wewe mwenyewe, usilishwe maneno kwamba ni harakati za pro Magufuli. Unachonganishwa

    Ninadhani kuna watu wanabeba ajenda na matamanio ya wananchi na malalamiko ya wananchi kama ni harakati za wafuasi wa Magufuli. Hali ambayo Mh.Rais na baadhi ha viongozi wenzie wanaziba masikio kwa makusudi kabisa kwa kudhani wanawakomoa hao wanao dhani ni wafuasi wa Magufuli. Mh.Rais...
  10. ChatGPT

    Matamanio ya Weekend kwa wanaume wengi

    NB: Woooote isipokua bwana dronedrake , Stress Challenger, mzabzab, 😂😂
  11. Hold on

    Matamanio ya wengi

    Ndugu ujambo Humu ndani kila mtu amejiunga akiwa na lengo lake, wapo waliojiunga na malengo yao yakatimia na wapo ambao wamejiunga hayajatimia bado lengo lao. Kundi la kwaza ni wale waliojiunga kwa lengo la kupata kazi kutokana na shuhuda za watu mbalimbali ambao walipata michongo kupitia JF...
  12. sky soldier

    Badili mtazamo wangu, kipimo mojawapo cha kujua mwanaume bado hajakua, hajapevuka akili ni yeye kuweka wazi matamanio ya ngono na wanawake

    Kupenda wanawake ni jambo moja lakini kuweka hisia zako wazi wazi ni kitu kingine kabisa. Wanaoweka hizi hisia wazi wazi mara nyingi wanakuwa ni vijana chini ya miaka 30, na hata humu ndani pamoja na mitandao mingine hiki ndicho kipimo natumia kumjua mtu bado ni mtoto au mtu mzima kiakili...
  13. THE BIG SHOW

    Mbowe na CHADEMA mnataka kumkwamisha Rais Samia kwakuwa amewalegezea kidogo?

    Friends and Enemies, Mbowe na CHADEMA wanataka kutupeleka wapi Tena? Je, ni kweli kwamba walishazoea ile hali ya kupelekwa kibabe na mwendazake na wameikumbuka kisha wameanza kutingisha kibiriti? Katiba mpya ni suala la mchakato, ni suala mtambuka na jumuishi kwa makundi mbali mbali ndani ya...
  14. comte

    Matakwa na matamanio ya wananchi ndiyo chanzo cha kupanda kwa matumizi ya serikali na kodi za kuyahimili

    Sera na sheria ni matokeo ya matakwa na matamanio ya wananchi. Na siku zote ongezeko la kodi na tozo ni linaaksi majibu ya serikali yenye lengo la kuyafikia matakwa na matamanio ya wananchi wake. Hali hii inakuwa mbaya zaidi katika siasa za ushindani. Leo kuna kelele nyingi za kutukubaliana na...
  15. KITAULO

    Kuolewa na mwanaume amaizing ilikuwa ni matamanio ya kila mwanamke kabla hatujavurugwa na dunia

    Kuna hili jambo ningependa tujadiliane ama tushirikishane kidogo. Hakuna asiejua kuwa kila mwanamke kabla hatujavurugwa na dunia huwa matamanio yetu ni siku moja kuolewa na kutengeneza familia na mwanaume fulani hivi amazing(fantancy vs reality). Sasa tatizo linakuja kuwa huwa wanawake wengi...
Back
Top Bottom