matamasha ya wasanii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mjanja M1

    Kwanini hauendi kwenye matamasha ya Wasanii wa Tanzania?

    Mimi siendagi kwasababu wasanii wengi hawajui kuperform live, wanachojua wao ni kusema "piga kelele" huku wakikata mauno na kukimbia kimbia. Wewe je?
Back
Top Bottom