MADA KUU: MATAMBIKO
Mada ndogo: KUTEMBELEA MAKABURI.
Somo linaendelea . . .
Makaburi ni makao ya roho za mababu (mizimu) ambao hawajazaliwa tena kwenye miili mipya (reincarnate) na ambao nafsi na roho zao (spirit-soul body) hazijaachana au hazijatengana.
Kwa kawaida, mtu ni roho yenye nafsi...
Hello!
Mimi nachukia sana uchawi na ushirikina makazini, kwenye siasa, kwenye soka, vyuoni, na mahali popote pale.
Nimeona kakikundi cha watu leo asubuhi Dar es salaam wakifurahia wakisema mchezo umeisha baada ya mvua kunyesha.
Niwahakikishie, kama Mungu aishivyo uchawi wowote leo hautafanya...
Waafrika wengi, tuna dhana ya kufikili kua matambiko ni uwovu na ushetani.
Lakini kimsingi hakuna dini ambayo haifanyi matambiko, haijalishi iwe dini mbaya au ni dini nzuri.
Waafrika wakifanya matambiko, inachukulia kama ushetani, kutokana na kazi kubwa kubwa iliyo fanywa na wamissionary ku...
Watanzania wenzangu naomba mniunge mkono tuachane na hizi dini za kuletewa na meli ndege na majahazi!
Kama miaka mia iliyopita walitufundisha kuoa mwanamke mmoja tu tena hakuna kuachana mpaka kifo kitutenganishe tuliwaelewa japo kishingo upande tukauweka pembeni urijali wetu wa kuoa wanawake...
kabila hutambuliwa kwa Lugha, Mila, Miko, Majina na matambiko , hapa tutagusia matambiko .... Hakuna mtanzania asiye na tambiko, kila kabila alilotoka lina tambiko lake .
yapo makabila ambayo.97% ya kabila hilo ni wakatoliki lakini matambiko ya kiukoo yanaendelea na wazee wamila...
Mababu zetu walikuwa wanajali sana masuala ya muhimu hasa linapokuja suala la kuondoa majanga katika jamii.
Ilikuwa ikikosekana mvua na dalili za ukame kuwepo mababu zetu walifanya makafara na mizimu iliweza kulinda taifa letu.
Sasa hivi kuna balaa la ajali limeandama taifa letu. Hapa...
Matambiko ya kimila yanayofanyika kiasili huwa yanaonewa aibu sana, hali ni tofauti kwa yale matambiko yanayofanyika kwenye nyumba za kuabudu ambapo watu huona fahari sana kushiriki.
Tatizo ni nini hadi hali kuwa hivi, shida yetu ni nini hasa?
Nianze kwa kukiri, naamini katika Ukristo na hivyo mifano yangu itaegemea kwenye kitabu chao Biblia. Katika Waraka wa pili wa Paulo kwa Wakorintho 6:14, Mtume Paulo anawaasa Waamini wa Kanisa la Korintho kwamba hakuna Ushirika kati ya Giza na Nuru. Akimaanisha huwezi kuwa mtu wa haki kama...
Tangu Rais Samia ashike madaraka amekuwa busy sana kuzing'ang'ania na kuzipigia debe siasa za kuwaenzi na kuuenzi utamaduni wa machifu na watemi hapa Tanzania. Hapa nitaweka kweli kadhaa kuhusu ubaya wa siasa hizo kwa nchi yetu na vizazi vijavyo.
1. Utamaduni wa watemi na machifu ni utamaduni...
Mimi na uislam wangu, na uchaga wangu, na usomi wangu siachi matambiko
Huu ndio ukweli unaotusumbua watu weusi, Wazungu wana dini yao, Waarabu wana dini yao, Wahindi wana dini yao, Wachina wana dini yao, na wanaziishi dini zao, ila cc waafrika tulizikataa dini zetu.
UPOTOSHAJI KUHUSU MIZIMU YA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.