Matambiko ya kimila yanayofanyika kiasili huwa yanaonewa aibu sana, hali ni tofauti kwa yale matambiko yanayofanyika kwenye nyumba za kuabudu ambapo watu huona fahari sana kushiriki.
Tatizo ni nini hadi hali kuwa hivi, shida yetu ni nini hasa?
1. Matambiko ya Kimila
2. Uchawi / Ushirikina
3. Utani wa Makabila
MATAMBIKO YA KIMILA
Kuna Makabila mengine yakiamua kufanya Tamaduni zao Jamii huwaona kama vile hamnazo ( Kipa Katoka )
Kwa mfano Kabila langu ukiona uko Mjini na Maisha hayaendi yakupasa kurejea kwa Wazee kisha unakogeshwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.