matangazo ya bunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mystery

    Siyo sawa kwa Shirika la Utangazaji la TBC, kukata matangazo mbashara ya Bunge na kutuletea matangazo mengine!

    Imekuwa ni jambo la kawaida sana Kwa shirika la utangazaji la TBC, kukata matangazo mbashara ya Bunge na kutuletea matangazo mengine. Kwa mfano hivi leo, weshakata mara mbili, matangazo mbashara ya Bunge na kutuletea matangazo mengine, likiwemo hili la sasa hivi la kuteletea semina ya viongozi...
  2. Cute Wife

    Pre GE2025 Luhaga Mpina: TBC inadharau Bunge kwa kukatisha matangazo Mubashara ya Bunge na kurusha warsha na ziara za viongozi

    kwa siku za hivi karibuni hadi Bunge linakatiwa matangazo ya moja kwa moja (live coverage) na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) na chombo hicho kujiunga na kuripoti matukio ya warsha, makongamano na ziara za Viongozi. Kwa Mamlaka lililopewa Bunge katika Ibara ya 63 ya Katiba ya Jamhuri ya...
  3. Pascal Mayalla

    Bunge ni Mhimili Huru, si busara kukatisha Matangazo Mubashara ya Bunge kupisha matangazo mengine

    Wanabodi, Bunge ni moja ya mihimili mitatu ya dola, baada ya matangazo ya moja kwa moja ya Bunge kusitishwa, iliamuliwa kipindi cha Maswali na Majibu ndicho pekee kiendelee kutangazwa live. Imeishatokea huko nyuma na sii mara moja wala mbili, matangazo haya Bunge Live kusitishwa kupisha...
Back
Top Bottom