Wanabodi,
Bunge ni moja ya mihimili mitatu ya dola, baada ya matangazo ya moja kwa moja ya Bunge kusitishwa, iliamuliwa kipindi cha Maswali na Majibu ndicho pekee kiendelee kutangazwa live.
Imeishatokea huko nyuma na sii mara moja wala mbili, matangazo haya Bunge Live kusitishwa kupisha...