matangazo ya kamari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Trainee

    Kweli hakuna mkate mgumu mbele ya chai: Matangazo ya kamari, riba na pombe yameingizwa mpaka sehemu ambazo zilionekana ngumu kufika

    Zamani (kabla ya smartphone) nilikuwa nikitaka kudownload miziki naingia Waptrick. Simu kubwa zilipokuja nikaona process za kudownload kwenye browser ni ndefu kwanza vitu vyenyewe unakuta vimeongezewa au vimepunguzwa mfano ukidownload kupitia mdundo lazima ukiplay mwanzo yasikike maneno "...
  2. Mwamuzi wa Tanzania

    Aibu: Vituo vya redio Tanzania vimegeuka kuwa Vituo vya kamari

    Kila ukisikiliza redio za Tanzania ni mwendo wa kamari tu. Mara pesa nje nje, mara mshiko fasta sijui kidudu gani. Tulipofikia pabaya kama Taifa. Matajiri wako hima kunyang'anya kidogo cha maskini
Back
Top Bottom