Zamani (kabla ya smartphone) nilikuwa nikitaka kudownload miziki naingia Waptrick. Simu kubwa zilipokuja nikaona process za kudownload kwenye browser ni ndefu kwanza vitu vyenyewe unakuta vimeongezewa au vimepunguzwa mfano ukidownload kupitia mdundo lazima ukiplay mwanzo yasikike maneno "...
Kila ukisikiliza redio za Tanzania ni mwendo wa kamari tu.
Mara pesa nje nje, mara mshiko fasta sijui kidudu gani.
Tulipofikia pabaya kama Taifa.
Matajiri wako hima kunyang'anya kidogo cha maskini