Kwa muda mrefu nimekuwa nikifahamu hospitali na mawakili huwa hawaruhusiwi na taaluma zao kufanya matangazo ya kibiashara mpaka leo hii nilipokutana ni hii ya Yanga kuitangaza JKCI!
Sijajua lengo la huu mpango ni lipi hasa?
Kwamba JKCI wana uhaba wa wateja?
Au JKCI wanafanya ushindani na...
Niliwahi kuambiwa hospitali na zahanati huwa zinabanwa kufanya matangazo ya kibiashara kuvutia wateja kwenye vyombo vya habari kwa sababu za kimaadili ya afya, sina uhakika kama kuna sheria au kanuni rasmi katika kuratibu matangazo yao lakini huu ni utaratibu ambao ungefaa zaidi kwa "huduma za...
Mwigulu Nchemba, Waziri wa Fedha na Mipango wakati anawasilisha Bajeti ya 2023/2024 amesema kutokana na ukuaji wa teknolojia, biashara nyingi zinafanyika mtandani na hivyo matangazo yanayofanywa kukuza bishara hizo kwenye mitandao ya kijamii kama Instagram, Facebook, Twitter na blogs mbalimbali...
Habari, I hope u mzima wa afya unavyopitia thread hii. na kama hauko poa, i pray urudi katika afya yako mapema.
To cut the story short, Leo nitaelezea jinsi ya kutangaza biashara yako kwa Facebook ads (matangazo ya Facebook), kama haufahamu Facebook ads ni nini basi fanya hivi :- Fungua...
Upi mtandao sahihi zaidi wa kijamii unaoweza kuutumia kutangaza biashara yako mtandaoni?
Tangu kuvumbuliwa kwa mtandao wa intaneti miaka 60 iliyopita, mapinduzi ya teknolojia yamerahisisha mawasiliano kwa kiasi kikubwa. Moja ya mabadiliko hayo ni uwezo wa kuwafikia watu wengi kwa muda mfupi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.