Akiwa katika mahojiano yake ya kuthibitishwa kuwa Mkurugenzi mpya wa FBI, Kash Patel alipoanza kwa kuelezea historia ya familia yake alisema baba yake alikimbia Uganda ya Idi Amin, dikteta muuaji wa kimbari ambapo Wahindi laki tatu(300,000) waliuwawa kwasababu ya kuwa Wahindi kama yeye tu.
Huu...
Salaam ndugu zangu,
Mtaani kwetu nimezungukwa na ndugu na marafiki wanaovuta sigara. Baadhi Yao hupendelea kula matango baada ya kuvuta sigara wakidai wanapunguza sumu itokanayo na sigara.
Nimejaribu kugoogle kutafuta ukweli lakini sijafanikiwa kuona.
Naomba JamiiCheck itusaidie kupata facts...
Kuna pahala nimesoma eti yule kaka kaandika ya kwamba mwanaume kuwa na uume mkubwa ni mateso tu kwani wanawake hawapendi!
Weeeeee thubutu! Nani alikwambieni hatupendi naniliu kubwa? Huyo aliendika huo ujumbe wenda yeye anako kananiliu kadogo ndo maana anataka sapoti ya wenye vidogo wenzie...
Watanzania tulidanganywa sana, nimemaliza Master Degree in Development Economics (MDE), nimesoma cases nyingi za nchi zilizokuwa maskini kama sisi wakati tunapata uhuru lakini sasa zimeshaingia nchi zilizoimarika kiuchumi.
Ukiachilia mbali S.Korea, Malaysia n.k. Hata nchi za Afrika...
Ulaji wa matango na matikiti maji husaidia kuboresha kiwango cha maji ambayo huitajika mwilini, hii ni kutokana na matango kuwa na kiwango kikubwa cha maji ambayo husaidia kuondoa taka mwili pamoja na sumu mbalimbali ambazo miili yetu huzipata kupitia vyakula, madawa na hata vinywaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.