Mtu mmoja (jina limehifadhiwa) anadaiwa kufoji nyaraka na kujifanya mwakilishi wa mmoja wa Wakuu wa Wilaya waliowahi kuongoza Wilaya ya Kisarawe, akidai kuuza viwanja kwa niaba ya mkuu huyo wa wilaya aliyepita.
Tuhuma hizi zilibainishwa na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti, wakati...
Niaje waungwana
Japo hakuna mtu mwenye dhamana ya kumpangia raisi kile anachoamua, lakini katika hili la kumtoa Silaa ardhi na kwenda kumtupa huko kwenye habari kwa kweli Rais wetu amefanya kosa la kiufundi sana.
Jerry alikuwa ashaanza kuwashughulikia vibaka na matapeli wa ardhi wote, yaani...
Waziri wa Ardhi Jerry Slaa amewatia mbaroni watu watatu wakidaiwa kuwa ni matapeli sugu wa Ardhi Wilayani Temeke ambao wamekuwa wakiuza maeneo kadhaa yanayo milikiwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) na kufanikiwa kujipatia Mamilioni ya fedha.
Jerry Silaa amefanikiwa kuwakamata...
Nilifuatilia vita dhidi ya matapeli wa ardhi Morogoro, nikagundua wote wana hati za ofisi za ardhi Morogoro, Jerry, fumua hiyo ofisi ya ardhi Mkoa na Manispaa ya Morogoro, bila kuibomoa hiyo ofisi, ni kilio tu Morogoro. Fuatilia hati za Mkundi, au itisha mkutano wa hadhara, asilimia kubwa...
Haya ni miongoni mwa "mauozo" machache:
1. Kiwanja kimoja kumilikishwa kwa watu zaidi ya mmoja
2. Wamiliki halali wa rdhi kupokonywa maeneo yao kinyemela
3. Shamba au kiwanja kimoja kuuzwa kwa zaidi ya mtu mmoja.
4. Watu kuuziwa mashamba/viwanja hewa
Wauzaji wa viwanja hewa, kwa mfano...
Nina andika kwa masikitiko makubwa huu mji wa tanga umekuwa wa hovyo mno .As if if hakuna serikali inayofanya kazi zake kwa weledi. Hii mata ya changani kuna huyu mwenyekiti anaitwa masumbuko sijui aliwezeje kukalia kiti cha kuwa mwenyekiti. Yan hana weledi alafu ni tapeli na nusu wao pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.