matatizo ya akili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rorscharch

    Mitego ya Kisaikolojia: Kwanini Wanawake Wanajazana Kwa Waganga na Wachungaji? Je, Hizi sio Pande Mbili za Sarafu Moja?

    Waganga wa Kienyeji na Wachungaji wa Maombi Binafsi: Ni Tofauti au Ndugu Wanaotumia Lugha Tofauti? 👇👇👇👇👇👇👇 https://www.jamiiforums.com/threads/waganga-wa-kienyeji-na-wachungaji-wa-maombi-binafsi-wajanja-wanaocheza-na-akili-za-wanawake.2314695/
  2. P

    Je, daktari katika kesi ya mauaji alipokea rushwa au nayeye alikuwa na matatizo ya akili alipotoa ripoti mbili kinzani mahakamani?

    Kuna kitu ambacho siyo cha kawaida kwenye kesi inayomkabili bwana Hamis Luwongo aliyehukumiwa jana na mahakama ya kuu ya kanda ya Dar es salaam kwa kosa la kumuua mkewe kisha kuuchoma moto mwili wa mkewe. Katika kuhakikisha inatenda haki, mahakama iliomba mtuhumiwa afanyiwe vipimo vya akili...
  3. chiembe

    Erick Kabendera: John Magufuli alifukuzwa Katoke Seminary kutokana na uvutaji bangi, Walimu wake walisema alikuwa na matatizo ya akili

    Ni Erick Kabendera tena! Akihojiwa na muandishi Ghassan kuhusu kitabu chake IN THE NAME OF THE PRESIDENT, amesema alifanya mahojiano na waalimu wa JPM pale Katoke Seminary, wakamwambia kwamba JPM alifukuzwa seminary kutona na uvutaji bangi, na utovu wa nidhamu uliosababisha kuvunja dirisha la...
  4. Nikola24

    Baadhi ya wanyama kukasirika na kupigana wanapojiona wenyewe kwenye kioo. Je, ni kutojitambua au matatizo ya akili?

    Habari zenu wana jamifourm! Leo nimeona niwaulize kuhusu hili. Nimeshuhudia baadhi ya wanyama kama Kuku ,mbwa nk, wakipigana na twasira yao wenyewe kwenye kioo. Je, ni kwa sababu gani Hawajitambui au wana matatizo ya akili?
  5. Jackson94

    Trump asema hana matatizo ya akili au uelewa na kuitisha mtihani kwa wagombea

    Trump amesema anafikiria wagombea wote wa urais wanapaswa kupewa mtihani wa uelewa, huku akisisitiza kwamba yuko sawa kiafya ya akili na muafaka kuingia madarakani. Akimzungumzia Kamala Harris huko Pennsylvania, alisema: "Sina tatizo la uelewa – lakini yeye anaweza kuwa na tatizo hilo." Trump...
  6. Replica

    Mikocheni: Wananchi wenye munkari wampiga mpaka kufa mlemavu wa akili baada ya kuwashambulia wapita njia

    Leo barabara ya Mwai Kibaki ilikumbwa na foleni isiyomithilika baada ya wananchi kumpiga mlemavu wa akili mpaka kifo eneo la Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam. Kipigo hicho kilichohusisha mawe na magongo kilianza baada ya mlemavu huyo kushambulia magari yanayopita barabarani ikiwemo daladala la...
  7. Eli Cohen

    Wanawake ni wengi kuliko wanaume, ila idadi ya wanaume wenye matatizo ya akili ni maradufu zaidi ya ile ya wanawake

    Saikolojia? Kwamba wanaume wanatunza uchungu moyoni bila ya kushare na wengine kama wafanyavyo wanawake kuwa wepesi midomoni. Mihadarati? Kwamba wanaume ndio watumiaji wa kupindukia wa madawa ya kulevya na ulevi wa pombe wa kupindukia zaidi ya wafanyavyo wanawake. Uchawi? 1: Kwamba mwanaume...
  8. GENTAMYCINE

    Mtaalam wa Tiba ya Akili na Saikolojia: Ikipita mwezi hujalia hadi kutokwa na machozi utakuwa na tatizo la akili

    Mtaalamu wa Tiba ya Akili na Saikolojia: Ikipita mwezi hujalia hadi kutokwa machozi utakuwa na tatizo kubwa la akili, jitahidini mlie tafadhali. Pia soma: Ongezeko kubwa la wagonjwa wa akili nchini; Je, jamii ina elimu ya kutosha juu ya namna ya kukabiliana na janga hili? Kama ni Kulia tu...
  9. R

    Nilichokiona kwa rafiki yangu mwenye dada mgonjwa wa akili. Ni mtihani mzito kusema kweli

    Miaka kadhaa nyuma nilipata kuishi kwenye familia ya rafiki yangu mkazi wa Dar es salaam. Rafiki yangu huyo kwa miaka yote toka tumefahamiana alikua amenieleza ana dada yake mkubwa (kwa sasa ana miaka 40+ dada yake) mwenye matatizo ya akili. Sikua nimewahi kumuona mpaka nilipoishi kwa wiki nzima...
  10. Mjanja M1

    Mtanzania mwenye matatizo ya akili kurejeshwa nchini toka Afrika ya Kusini

    Ubalozi wa Tanzania katika Jamhuri ya Afrika Kusini unawashukuru kwa dhati watu wote waliotusaidia kuwapata ndugu wa Bw.Karim, Mtanzania mwenzetu mwenye matatizo ya akili hivi sasa, ambaye aliondoka nchini Tanzania mwaka 1998 kwa ajili kuja Afrika Kusini (Bondeni), kutafuta fursa za Kimaisha...
  11. Z

    Nashindwa kuitawala pesa. Laki Tano inaisha ndani ya wiki Moja. Natumia dawa za matatizo ya akili. Nifanye nini?

    Nina shida ya kiakili natumia dawa zinatwa resperidone. Changamoto niliyonayo ni kuwa hata nifanye Nini nkipata kipato haichukui wiki laki Tano imeisha. Hata niweke mikakati ghani nitajikuta tu baada ya wiki nipo kwenye stress Sina pesa. Nmefikia hatua Sasa hii hali imenichosha naomba...
  12. Undava King

    Ongezeko kubwa la wagonjwa wa akili nchini; Je, jamii ina elimu ya kutosha juu ya namna ya kukabiliana na janga hili?

    Kwa kipindi kirefu tumekuwa tukiyapa kipaumbele magonjwa ya kuambukiza na yasiyo ya kuambukiza, ambapo kwa kiasi kikubwa yameelezewa kwa mapana yake kuhusiana na chanzo, dalili, na tiba zake. Huku semina na mafunzo mbalimbali ya uelimishaji yakifanywa kwa umma kupitia Serikali na wadau wake...
  13. Replica

    Watanzania milioni 7 wanakabiliwa na matatizo ya akili, 10% pekee wametibiwa

    Takwimu zilizotolewa na wizara ya afya ambapo watanzania milioni 7 wanakabiliwa na matatizo ya akili huku matumizi ya teknolojia kama mitandao ikiwa moja ya sababu iliyotajwa na wadau. Msongo wa mawazo pia ni changamoto nyingine inayokumba watanzania. Wiki hii dunia inaadhimisha wiki ya afya ya...
  14. Chachu Ombara

    Shinyanga: Kijana mwenye matatizo ya akili auawa baada ya kuua watu wawili na kujeruhi kadhaa

    Vilio na simanzi vimetawala kwa wakazi wa Kolandoto mkoani Shinyanga, baada ya watu wawili kuuawa kwa kukatwakatwa na kitu chenye ncha kali na kijana anayesadikiwa kuwa na matatizo ya akili na kujeruhi watu watatu na kisha wananchi wenye hasira kali kumuua muuaji huyo.
Back
Top Bottom