Kwa kipindi kirefu tumekuwa tukiyapa kipaumbele magonjwa ya kuambukiza na yasiyo ya kuambukiza, ambapo kwa kiasi kikubwa yameelezewa kwa mapana yake kuhusiana na chanzo, dalili, na tiba zake.
Huku semina na mafunzo mbalimbali ya uelimishaji yakifanywa kwa umma kupitia Serikali na wadau wake...