Ubalozi wa Tanzania katika Jamhuri ya Afrika Kusini unawashukuru kwa dhati watu wote waliotusaidia kuwapata ndugu wa Bw.Karim, Mtanzania mwenzetu mwenye matatizo ya akili hivi sasa, ambaye aliondoka nchini Tanzania mwaka 1998 kwa ajili kuja Afrika Kusini (Bondeni), kutafuta fursa za Kimaisha...