Baada ya kuufuatilia mgogoro wa Mashariki ya Congo-DRC sasa ninaweza kusema mgogoro huo umegawanyika katika robo nne.
1. Robo ya kwanza ni siasa kabisa-hapa kuna tatizo la siasa za uraia wa mipakani, ukabila na genocide ya Rwanda. Hili tatizo ni la muda mrefu tangu uhuru, limezungumziwa sana...